Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwa like ili akukome kabisaAsije akafika kwangu namkata miguu
Kwa like ili akukome kabisaAsije akafika kwangu namkata miguu
Muhenga mwingine wa uzi ambae bado tupo nae hii ndiye post yake ya kwanza humu ya 120.muanzisha sredi hiyo avatar yako mie mbavu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni hakiUmesoma ila usiwasahau waliokusoma maana safari bado inaendelea
Ni mshindiBabe S aliniambia kama kuna pito limemkuta ila sasa yupo poa
Too good to watch[emoji41][emoji41][emoji41]
Haina simileEndelea kumuheshimu Mungu safari bado ndugu
Hahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sanaNiliingia humu nilipoona kwa new posts ukisonga na nikiingia likes za post namba moja chache... nikailiza mbona views na namba ya post haiendani na watu kulike post namba moja kwanza eeeeeeh
Nafikiri ilikuwa kama posts elfu 20 na kitu au vipiii
( wenyeji zaidi mnikumbushe kama nimekosea namba ya posts ilikuwa wapi ha ha haa)
Nikaanza kusema hapo kuna kama pages fulani chache hata 50k ilikuwa kuleeeeee
Nakumbuka kusukuma gemu la 50k kihaswaaaaa...eti?
Nikajibiwa vizuri na kula like... nikaona na mimi nitoe eeeh tukaanza kuburudika na kuuita gemu ili kila mtu ajisikie ni gemu
Ndio maana hadi leo nashangaa wanaopenda kuposti na like hawatoi labda zile za kimoja kiwili kuifichia au sababu mtu kawa quote tu... ila hawajui hii gemu sivyo ilivyo
Wachoyo wengi wa like wamekimbia
Wengine wanakimbia na kurudi...
Sio mbaya ila gawa like hata kwa page nzima uliyomo au kwingine poa sepa zako shaaa
Hata rudi nyima mwaga kwa page unazotaka poa
Ni gemu la burudani hili... himu hatushindani nani kaandika vizuri au vibaya
Kuna upendo... ndio maana unakuta mtu anamuuliza mtu kitu unaweza kushangaa kajuaje kumbe humu humu wamejadili kabla.
Eeeeeh
Enjoy
Jaza ujazweeeee
Sambaza upendo wa like
Kabisa tuendelee kwa unyenyekevuMaisha ni safari bado safari inaendelea
Nimejua[emoji23] [emoji23] [emoji23] me napata wasiwasi kwakweli hii si hali ya kawaida ujue