mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kuala lumpa
Sasa utaangukaje umevaa suruali ???Rudi hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah...Huyo ni wewe na yeye!?...![]()
Kijana wangu Kichwa leo naona upo na gospo tu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahhaha jaribu uoneNafikiri itakuwa yangu
Haki ya Mola wangu walahiHahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sana
Hata kama imefikia ukingoniEndelea kuheshimu wqtu safari bado inaendelea
Hiyo ninahakika itakuwa ina ushindani mkubwaPost ya 200K ni yangu,nitaipata hata kwa kwenda Sumbawanga... Hahahhahaaa
Umejua nini mkuu?nijuze na mimiNimejua