Carolina.North
Curvatures and apertures![]()
Naona umejiona hapo na TV yako ya chogo
Nilikua sijui.Nimejua
Hahahaha hii ndio JFHahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sana
Chenye mapembeMy princess kicheko tena huyo ndio kichwa
Hahahahaaaa kwamba inaweza kuwa dalili za uumbaji!!!??Teh teh...kihoma tena!??....mmhh andjul!!