Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mark Msue ni muhenga wa uziMmmh
Hii ilikuwa post ya 4 ya huu uzi.
Priest hadi leo tunae.
Tunasima kwa pamoja tunampa makofi ya pongezi kwake[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mark Msue ni muhenga wa uziMmmh
Umepeleka wapi?Mbavu sina
Ana lake jamboSasa naanza kupata sababu za yeye kuimba gospo leo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha the one and onlyKichwa na mchina walikuwa hawajui,naye ISIS kila wakiongea nae alikuwa anajibu kwa mapicha picha yenye maana tofauti kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila kutoa likes haujapitaKimyaa . wote napita
Post sent using JamiiForums mobile app
LikeOur number rule
Mimi likeYupo
Spirit
Ndizo sera zetuPost chochote upate like toa like upate likes
Kabisa na tumwagiwe likesLete post tukumwagie likes
uzi una siku 30.
Ulianzishwa: 16/06/2017
Leo ni: 16/07/2017
Celebration kwa uzi.
Tuambie story fupi uliingia vipi humu.
Yangu naileta soon hapa.
Mwendo mdundo mbele daima
KumbeHahahahha naona hapo kwenye C na D panakuhusu sana