Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]
Ni kweli nimepata marafiki humu wengine kwa kweli tumejuana na wengine nafanya nao biashara kweli jf ni safi sana hasa Uzi huu
 
Niliingia humu nilipoona kwa new posts ukisonga na nikiingia likes za post namba moja chache... nikailiza mbona views na namba ya post haiendani na watu kulike post namba moja kwanza eeeeeeh

Nafikiri ilikuwa kama posts elfu 20 na kitu au vipiii


( wenyeji zaidi mnikumbushe kama nimekosea namba ya posts ilikuwa wapi ha ha haa)

Nikaanza kusema hapo kuna kama pages fulani chache hata 50k ilikuwa kuleeeeee

Nakumbuka kusukuma gemu la 50k kihaswaaaaa...eti?

Nikajibiwa vizuri na kula like... nikaona na mimi nitoe eeeh tukaanza kuburudika na kuuita gemu ili kila mtu ajisikie ni gemu

Ndio maana hadi leo nashangaa wanaopenda kuposti na like hawatoi labda zile za kimoja kiwili kuifichia au sababu mtu kawa quote tu... ila hawajui hii gemu sivyo ilivyo

Wachoyo wengi wa like wamekimbia

Wengine wanakimbia na kurudi...

Sio mbaya ila gawa like hata kwa page nzima uliyomo au kwingine poa sepa zako shaaa

Hata rudi nyima mwaga kwa page unazotaka poa

Ni gemu la burudani hili... himu hatushindani nani kaandika vizuri au vibaya

Kuna upendo... ndio maana unakuta mtu anamuuliza mtu kitu unaweza kushangaa kajuaje kumbe humu humu wamejadili kabla.


Eeeeeh


Enjoy


Jaza ujazweeeee


Sambaza upendo wa like
Good one
 
Back
Top Bottom