Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HahahahaaDodoma dar nimepanda sana hii gari wacha nicheki number zake isije kuwa Rooney alikaa siti yangu ninayopendelea
HahahahaaDodoma dar nimepanda sana hii gari wacha nicheki number zake isije kuwa Rooney alikaa siti yangu ninayopendelea
Piga mbizi mamba ajaDaraja ukilibomoa, ujue kuogelea
SubraHakuna la kudumu, kiumbe uwe na sabura.
Mapana yasiyo na nchaHakuna lisilo na mwisho.
Watu waanze kutoka eneo hilo
HufuatanaHakuna msiba usio [kuwa] na mwenziwe.
Likikuchoma ujue lako hiloHakuna waridi bila miiba.
Dawa ya shubiri ikwepeDawa ya moto ni moto
Ukikata mzizi mwisho wa fitinaHakuna shina lisilo na ncha.
Ha ha ha haWatachotwa
La mbali msubiri ufuoniHapana bahari isiyo mawimbi.
Kama halivukiki piga mbiziDaraja livuke ulifikapo
WalahiThis is fascinating