mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na dawaKazi
Hakuna ukelele bila wenyeweHapana maji yasiyo [na] mawimbi.
Heri kuchelewa kuliko kutofika kabisaHeri nusu (ya) shari kuliko shari kamili.
RealReal or Photoshop
Uwezi zama Mkuu AMUN RANishike mkono nisizame, mawimbi ni mengi
Wamemkosea sana mother natureKibiti wanaisoma number!
Subra huvuta kheriKheri nusu shari kama shari kamili.
Aisifiaye mvua imemnyeaHeri ya kuvujiwa kuliko kunyeshewa.
Heri kuchelewa kuliko kutofika kabisaHeri ya mrama kuliko kuzama.
God iz bae hatakuokoaMawimbi ni makali nahitaji msaada