Ndugu wakigombana chukua jembe ukalimeDamu nzito kuliko maji
Likes kila postNaona umeamua!
Kumi ni moja iliyochakachuliwaKenda karibu ya kumi.
Yaani kama kawaidaWazima humu?
Itoe like uliyompa! MpendwaOndoa hiyo picha
Humu hatujui kula ban wachangiaji
Na pia kuna jukwaa la wakubwa kajiunge huko urushe picha za hivyo.
Nyoka hung'ata kwa khofuKenge aliuma sababu ya pumzi.
Mwenye macho haambiwi tazamaDalili ya mvua mawingu
Mjinga sana huyoUstaarabu kitu kidogo sana katika maisha ya dunia jaribu hata hicho kukipata.
Try to behave vizuri hata kwa ambao huwafahamu.
So rightNeno "msamaha" kwa mpumbav litamuua
Mhhhh Mimi namuombea njaa tuOmbea adui yako aishi siku nyingi
Fonda ndugu halina tibaKidonda cha mwenzako unakisafisha na gunzi, chako unatafuta pamba.
Well saidUstaarabu kitu kidogo sana katika maisha ya dunia jaribu hata hicho kukipata.
Try to behave vizuri hata kwa ambao huwafahamu.