Hawana adabu walinidokolea elfu kumi kumi zangu meza ya garden sina hamu nao...
Palivyo pakubwa na bustani... nikawa najiuliza majani yapo bomba hata zikipeperuka haziwezi kudumbukia mahala kujificha eeeeeh
Na nilijua hamna aliyesogea kwenda upande huo sababu niliingia ndani kuchukua kitu... zikawa pale nitume kitu eeeeeh bora moja shaaaaa zote hapana
The dereva akasema lazima kunguru...shaaaaaa nikaja weka kujaribu sikuamini ni wezi hivyoooo
Yakaja mawili yanazunguka
Eeeeh sina hamu nao kabisaaaaaa
Wezi wakubwaaaaa