Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Anamatatizo ya Akili aliepost ameniboa sanaUstaarabu ni kitu cha bure
Mwenye uzi alisema post chochote upewe likes
Hakua na maana watu wa post matusi ama picha za uchi
Kabla hujapost kitu jaribu kufikiria unacho post
Tujitahidi kuwa wastaarabu...
Na tuwaombeeTuwasamehe waliotukosea
Usiku mwema Kichwa KichafuUsiku mwemah shem carbamazepine
Pole sanaHawana adabu walinidokolea elfu kumi kumi zangu meza ya garden sina hamu nao...
Palivyo pakubwa na bustani... nikawa najiuliza majani yapo bomba hata zikipeperuka haziwezi kudumbukia mahala kujificha eeeeeh
Na nilijua hamna aliyesogea kwenda upande huo sababu niliingia ndani kuchukua kitu... zikawa pale nitume kitu eeeeeh bora moja shaaaaa zote hapana
The dereva akasema lazima kunguru...shaaaaaa nikaja weka kujaribu sikuamini ni wezi hivyoooo
Yakaja mawili yanazunguka
Eeeeh sina hamu nao kabisaaaaaa
Wezi wakubwaaaaa
Scary number
My age
MbaliIli uyafikishe wapi???
ElizabethQueen
160k Leo usiku ndio maana Niko hapa
Life starts
[emoji8][emoji8][emoji8]Carbamazepine umenimiliki mazima nifanye unachotaka vyovyote nipo do me [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]