Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna post huku 1hr ago kuna mtu katuma picha ambayo si nzuri ni makwazo kwa wengine mimi ni mmoja wapo niliekwazika na picha hiyo...tujitahidi kuwa wastaarabu japo kidogo
Niiona hiyo picha na hayo matusi, kwakweli alichofanya ni ujinga, maana tumekuja huku kwa kuwa kuna utulivu, mods wamtazame huyo jamaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…