Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HahahahaRutashubanyuma umekunywa hata chai Leo kweli nauliza tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
HahahahaRutashubanyuma umekunywa hata chai Leo kweli nauliza tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
PembejeoGood night Pemba
Cheka kwa sauti ya chini bhanaHahahaha
BwagamoyoGood night Znz
Njozi njemaNiwatakie...
ZimekimbiaLikes zimezorota
KilomberoGood night Morogoro
MwembechaiGood night Pwani
[emoji102]Yaani namuona tu!
RufijiGood night Lindi
Kula likes kwanza si milio ya nyau
Game beginLikes is a game changer
VijijiniGood night Mtwara
HahahahaHawana adabu walinidokolea elfu kumi kumi zangu meza ya garden sina hamu nao...
Palivyo pakubwa na bustani... nikawa najiuliza majani yapo bomba hata zikipeperuka haziwezi kudumbukia mahala kujificha eeeeeh
Na nilijua hamna aliyesogea kwenda upande huo sababu niliingia ndani kuchukua kitu... zikawa pale nitume kitu eeeeeh bora moja shaaaaa zote hapana
The dereva akasema lazima kunguru...shaaaaaa nikaja weka kujaribu sikuamini ni wezi hivyoooo
Yakaja mawili yanazunguka
Eeeeh sina hamu nao kabisaaaaaa
Wezi wakubwaaaaa
PeramihoGood night Ruvuma