Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuna kushukuru Mungu kwa kutupa siku nyingine. Tuna shukuru kwa wema na ukarimu wako. Baba tazama kila mwanao anaekwenda kuhangaika na kufanya kazi kwa moyo wake wote, Mungu naomba umbariki akafanikiwe.
Na wakabidhi wote mikononi mwako huku ukiwa umewafunika kwa Damu ya mwanao Yesu Kristo iwe ulinzi kwao.
Amen.
 
819de761074d1e724370eb7187331ba9.jpg


Hii itawafaa sana Andjul na Ho chi minh
 
Back
Top Bottom