Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kadri iwezekanavyotupendane na kuheshimiana
Kadri iwezekanavyotupendane na kuheshimiana
Sio mbaya ado ado znasonga cjui wewe?Harakati aje aje dingimtoto
Kama kawa na wewe upo mjengoniKichwa kichafu,ISIS,ho chi minh,uniq,dingimtoto,babe S,Rutashubanyuma,tayar wapo mjengoni
Bila zogolikes kwa likes
HahahahhahhaKama wewe ulivyo kwa Cole Williams
Post sent using JamiiForums mobile app
Morning my babe s,Morning again
CleverKINGHata usiponitaja sawa tu 😀😀
Kichwa kichafu.
Cole Williams ni ndugu yanguKama wewe ulivyo kwa Cole Williams
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante mkuu. That's how I live my life. Inaleta ridhiko la pekee na furaha kuu kumsaidia mtu ambaye hutegemei cho chote kutoka kwake. Mahospitali huko kuna wagonjwa sugu wamekuwa abandoned na ndugu zao. Hata wakipata mtu wa kuongea nao tu wanashukuru Mungu sana. Tujitahidi kwa kweli!Hasa masikini tunaopishana naona barabarani tuwatupie makombo yetu ili tusije kuwa yule tajiri aliyemnyima Lazaro makombo yake. Siku ya siku upepo ulipogeuka tajiri alitamani makombo ya Lazaro hakuyapata
YapiiiHayo
Chini ya mwalimu wa zamu mr Nkata Nkutwike.Atakuwa mstarini sasa hivi huko shule
Historia inapoeleweka vyema hupunguza sana kurudia makosa ambayo waliokutangulia waliyoyafanyaKukosea pia ni sehemu ya maisha na pia ni sehemu ya kujifunza ili siku nyingine uweze kuchukua tahadhari mapema.