Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliyekuja na hili salute kwake

Ukienda makapuku kama sio mkongwe huto ambulia likes wala mtu kukoti comments wanaishi Kwa kujuana kuna Shangazi/mjomba/wifi kama hawakujui utajihisi mpweke


Again hongera bro Kwa kuja na hii kitu



Post sent using JamiiForums mobile app
Karibu sana mkuu.

Humu hamna tabaka lolote umoja upendo ndio unatuunganisha.


Jisikie upo nyumbani
 
Back
Top Bottom