Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

funny-optical-illusions-5.jpg

nani amevaa jinsi
Aliyevaa sox nyeupe
 
Like ya nne at 15:55

Nilichojifunza wengine wanawaruka wengine sijui kwanini
Ninawafuatilia nyote nitatoa data kanzi hivi karibuni ya wale wenye likes zenye macho

Hata kama hatoi like mkemee kwa like siyo kulipiza kisasi

Hivi unapolipiza kisasi tofauti yenu ni nini?
Juzi nimekungoa likes za kutosha unakula kimya, gawa likes haziuzi
 
Back
Top Bottom