Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amun Ra ni muunganiko wa miungu wawili (Amun - mungu wa miungu yote na Ra mungu wa jua)
b20eba9d7015d59f69750e7150fdc991.jpg
Well said bro umeingia ndani sana kwenye mambo yetu
 
BEST"LEO NIMEPATIKANA" nipo kwenye harusi , na sasa umefika ule muda wa kujitambulisha makabila ye2, lakini wamesema tujitambulishe kwa herufi nne za mwisho tu ili kuokoa "time",
mchaga amesha simama akasema:

mimi- chaga.
mgogo=gogo
mpare=pare
mhaya=haya
mhehe=hehe
mjita=jita
mmeru=meru
Kazi ipo sasa mimi MSUKUMA natetemeka hapa..... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji121][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Mmmhhhhh
 
Back
Top Bottom