Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimba amenifurahisha sana my Queen Leo
Shemeji. Dada huwa anapoteza muda mwingi kujieleza kuwa yeye hahusiani na magaidi wa ISIS. Badala ya kujieleza sana sasa anaweza tu kurusha picha na akaeleweka. Na nyongeza nyingine hii hapa chini: Nakaribishwa Masaki? Na kuanzia sasa ukome kuniita Shilawadu. Shilawadu gani anashusha mawe namna hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…