Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaa kweli kabisa. Tena utasikia wengine wakisema wana miez hawajagusa ugali
Halafu ukute beche tena lenye wese la kutosha. Ukitoka hapo unakwenda kutandika mpira barabarani huku ukiwa na furaha isiyo na kifani. Halafu tukikua tuna-complicate maisha weeee mpaka hata furaha hatuioni tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…