Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona haupewi likes utakazo simple jua wewe hautoi likes watakazo. Haina haja ya kulalamikia watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona haupewi likes utakazo simple jua wewe hautoi likes watakazo. Haina haja ya kulalamikia watu
Ninazitafuta likes zako Kwangu sizioniHahahaha
Kona mbili tuStress free zone
SmartIndeed
Ni likedUpendo
MwororoUsiku unakua
Kids will be kids. Na kwa nini hawakufunga milango?
MmmhhhhhJioni murua kabisa nikipata kikombe cha uji na King Kiba Karanga...![]()
AhaNaona umetutembelea mkuu!!
Maneno ni mawili tu...."Kula LIKE!!!"
DuhShemeji. Dada huwa anapoteza muda mwingi kujieleza kuwa yeye hahusiani na magaidi wa ISIS. Badala ya kujieleza sana sasa anaweza tu kurusha picha na akaeleweka. Na nyongeza nyingine hii hapa chini: Nakaribishwa Masaki?
Na kuanzia sasa ukome kuniita Shilawadu. Shilawadu gani anashusha mawe namna hii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Halafu ukute beche tena lenye wese la kutosha. Ukitoka hapo unakwenda kutandika mpira barabarani huku ukiwa na furaha isiyo na kifani. Halafu tukikua tuna-complicate maisha weeee mpaka hata furaha hatuioni tena!Utamu wa mwiko kukombelezaView attachment 544654
AhaHahahaha
VepeeeAiseeeee
YesLike no other
SijuiWapi Kichwa Kichafu sijui nikupe ubuyu wako
Na wewe piaPata like