Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20066936_1875115072814851_5051834249741598720_n.jpg
 
Kila siku huwa nasisitiza kuwa mods waangalie aina upya ya kujiunga humu jamvini.....hasa hasa suala la kupimwa akili kwa baadhi ya member humu.......maana kuna vichaa wamebakiwa akili kidogo za kutumia simu janja ndio wanaofanya upuuzi huu.....

Maana naamini kabisa mtu mwenye akili timamu hauwezi ukaposti picha kama ile....

Hiyo picha niliyokutana getini....imenifanya nijulize mara mbili mbili kuwa nimeingia JF au mtandao wa ngono.....!!??

Jamani humu ndani pamoja kuwa tunataniana humu lakini mkumbuke kuwa kuna baba zenu humu na mama zenu....

NB;
Mods hakuna uwezekano wa huyo kijana mkamkabidhi kwenye vyombo vya sheria.....au haya si katika makosa ya kimtandao...!!?
Mzee wa busara ulipotea kula like kwa kuonekana tupe busara zako
 
Kichwa kichafu
Mkuu mood imekata kabisa hebu nitarudi baadae.

Daaah.
Figisu haziishi kila corner.
Likes tu mtu analeta chuki.
Kazini chuki haziisgi
Mtaani nako chuki zipo.


Ila leo daaah mazee hii kali just "LIKES" na UZI watu tunaongea na kubadilishana mawazo tu.


Mtu analeta chuki kwa matusi na picha chafu.


Wakuu nitawaona mida aiseeh.


Fitina , chuki kila sehemu inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom