Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mkuu anapost maneno makali sana hata kufikiri kidogo hatakiNaona umerudi tena upya
Mkuu anapost maneno makali sana hata kufikiri kidogo hatakiNaona umerudi tena upya
Toa upewe ndiyo formula
Yeah! Mods have to be aggressive na haya mambo kwa sababu jamaa wanaweza kutumia kama sababu ya kuifungia JF mazima!
Don't disturb my Queen kichwaKwenzi nyingine ya like nakupiga
SuperNando's Take Away![emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi anaimba nyimbo nzuri nzuri tu katuliaSitaki kabisa arudi kwenye paraboz tena. I remember the pain. Nilikuwa naumia sana kwa sababu hakuna kitu kinauma hapa duniani kama kupenda usipopendeka..
SidhaniHao kina Mod itakua wanaifurahia..kumbe tngu sana ilkuako!!!
Atakuwa ni yeye mana daah sio kwa maneno hayoMkuu anapost maneno makali sana hata kufikiri kidogo hataki
Kwani sheria hiyo imeshindwa kufanya kazi? Au wana-focus na aina fulani tu ya makosa? Naona watu wanadakwa kila leo...Hapa ndipo tunapoona mantiki ya ile sheria ya makosa ya mtandaoni....
Pamoja na kasoro zake lakini ingefanikiwa upumbavu wa aina hii unaofanywa na mtu aliyenyuma ya keyboard
Ndo nini? Ukurasa au
Nawe pokeaMpe like
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]