Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afadhali imeondolewa....

afdd6117e4b085143dde4e2dac9346c6.jpg
Yeah! Mods have to be aggressive na haya mambo kwa sababu jamaa wanaweza kutumia kama sababu ya kuifungia JF mazima!
 
Ndugu Wana Chit-Chat,

Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.

Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.

Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.

Asante.
Aisee!

Pouwa
 
Nimewaelewa lakini msiondoke bila ya kutoa like.
 
Back
Top Bottom