Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1499594386093.jpg

Jaribuni kutoa like 2000 tuitoe ile picha mbaya kuwa icon ya Uzi huu.
Mpe like bi mkubwa
 
Ndugu Wana Chit-Chat,

Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.

Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.

Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.

Asante.
ile ya front mbona bado ipo mkuu?

Sent from my TECNO S5 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Wana Chit-Chat,

Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.

Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.

Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.

Asante.
Asante sana
 
Back
Top Bottom