Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ashindwe na pepo lake la ngononi kweli.. anataka kuchafua huu uzi
Ashindwe na pepo lake la ngononi kweli.. anataka kuchafua huu uzi
Imeondoa heshima ya jf nzimaaKweli inatia kinyaa
MbayaaaaI just did...My eyes...
Nafurah dear njoo pm tutete mpenzNiko salama mamy
Aibu tupuHiyo picha imeniletea taswira mbaya hapa nipo kwenye basi kwa uzuri nimekaa na mwanaume mwenzangu ikabidi nimueleze huu ujinga uliofanyika kwenye hii picha.
Nawaza tu je ndio ningekuwa nimeufungua kwenye halaiki kama kwenye mwendokasi jioni hii watu walivyojazana namna ile au upo na wanao au wazazi
kula uliwe
ohoooo!! kwa heri...Uwiiiiii usintie aibu
Haya ushaona ulichotaka kuonaAisee kila nkifungua JF nakutana na mdada ananilaani
Well saidAshindwe na pepo lake la ngono
Paw JamiiForums tunaomba msaaadaHiyo picha imeniletea taswira mbaya hapa nipo kwenye basi kwa uzuri nimekaa na mwanaume mwenzangu ikabidi nimueleze huu ujinga uliofanyika kwenye hii picha.
Nawaza tu je ndio ningekuwa nimeufungua kwenye halaiki kama kwenye mwendokasi jioni hii watu walivyojazana namna ile au upo na wanao au wazazi
kula uliwe
OkeyNafurah dear njoo pm tutete mpenz
Huwezi kujizuia vinginevyo huwezi kufungua huu uziKwanini? Wewe mbona umeiona?
Naona post yenyewe yenye picha imeondolewa na aliyeiweka (Kipaso Nchimbi) nadhani kala ban. Tatizo picha yenyewe bado imeng'ang'ania geti letu. Jamaa ni mtu wa IT nini kafanya yake ili isifutike kamwe?
WickedWatu ni waajabu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtu anaona tunafaidi kazi kweli kweliNimeiona sasa hivi. Huyo lengo lake uzi ufungwe. Hata likes hizi unakuta mtu anaumia. Binadamu!
Fuata ile page uwaambie
Ingekuwa shabaDah hizi ni likes tu zinawaumiza watu kingekuwa chakula ingekuwa balaa