Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
17:53
17:53
Wapi?Umo?
Pokea likeKaribu tena kamanda. Ulipotea pamoja na Ukhuty wako tukadhani pengine qgyfhygkbvdgdhfdg!
Kama hujaiona bora usiioneAcheni na sisi tuione tuweze kumraani vizuri
ni kweli.. anataka kuchafua huu uziNimeiona sasa hivi. Huyo lengo lake uzi ufungwe. Hata likes hizi unakuta mtu anaumia. Binadamu!
I just did...My eyes...You don't need to see it....appaling
Rudi chit chat angalia huu uzi kwa pale ndiyo ikoIko wapi tuione
Kwanini? Wewe mbona umeiona?Kama hujaiona bora usiione
Watu ni waajabu sanaNimeiona sasa hivi. Huyo lengo lake uzi ufungwe. Hata likes hizi unakuta mtu anaumia. Binadamu!
Nipe link.Rudi chit chat angalia huu uzi kwa pale ndiyo iko
Hapa lazima upate eneo lote la mche duara
Ni wivu tu anaona mtiririko wa likes sasa aumwa alianzisha huu uzi anaweza kuitoa?Mpuuzi gani huyo
Watu tuko tofauti sana. Aliyeiweka ni nani? Na kwa nini imeachwa kuwa hapo tangu jana? Mods hawaioni?Rudi kwenye forum ya Chit Chat imeshamiri inatia kinyaa