Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,740
- 21,874
Atakuwa yuko humu. ..maana picha iko humu
Atakuwa yuko humu. ..maana picha iko humu
Very badNi Mbovu aseeh... inatia ukakasi saana
Mkuu wengine roho mbaya jadi Yao.Ana wivu sana
Pokea like[emoji7][emoji7][emoji7]
Karibu tena kamanda. Ulipotea pamoja na Ukhuty wako tukadhani pengine qgyfhygkbvdgdhfdg!Nani kapost hiyo picha chafu?[emoji35][emoji35][emoji35]
Mpuuzi gani huyoKuna mjinga mmoja jana aliingia humu kuchafua huu uzi na matusi
kuna mhuni aliposti uchafu wake janaNi picha gani hiyo inaongelewa sana?
17:48
Jana sikuwemo humu shemeji. Ni picha gani hiyo inaongelewa sana?Ni ya jana
Bad photo mod wako wapi? ASwekwe korokoniKwenye display ya huu uzi kuna bonge moja la picha mbovu balaa. Toka kwenye uzi halafu uangalie utaiona
Karibu tena kamanda. Ulipotea pamoja na Ukhuty wako tukadhani pengine qgyfhygkbvdgdhfdg!
Unatumia PC? Kwa tunao tumia app ukiingia tu Jf unaona ime display kwenye uzi huuWhere is da pic?
Broooo bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Umenitoa wasiwasi hapo mstari wa mwisho. Nilifikiri umeanza tena paraboz bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo si wa humu alikuja kuchafua uzi siku ya jana kwa id fake
Rudi kwenye forum ya Chit Chat imeshamiri inatia kinyaaWhere is da pic?