Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kumbe ya Kitambo?Hiyo picha iliwekwa na mjinga mmoja alikuja humu kufanya fujo na kutukana.
Nikahisi mod wameshafuta hiyo picha na post ya huyo jamaa.
Hapo ndio maana naendelea kuwalaumu mod kuwa hawapo active
[emoji7][emoji7][emoji7]Only love, sets you free,
And if you serve to fate, then you're my destiny.
Now I know, now I see.
Anything can happen, if you just believe. Once again carbamazepine [emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Ni Mbovu aseeh... inatia ukakasi saanaHiyo picha iliwekwa na mjinga mmoja alikuja humu kufanya fujo na kutukana.
Nikahisi mod wameshafuta hiyo picha na post ya huyo jamaa.
Hapo ndio maana naendelea kuwalaumu mod kuwa hawapo active
Hongera shemeji. My young bro is indeed happy. Safi sana!This is so sweet of u[emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Shemeji bhana[emoji23][emoji23][emoji23]Umenitoa wasiwasi hapo mstari wa mwisho. Nilifikiri umeanza tena paraboz bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye display ya huu uzi kuna bonge moja la picha mbovu balaa. Toka kwenye uzi halafu uangalie utaionaBaba anatukana wanawe. Safi sana tena nakusindikiza na likes.
Hiyo picha mbovu iko wapi mkuu?
Where is da pic?Mods naomba msaidie kutoa picha moja chafu kuna mwenda wazimu kaweka yaani mtu unaogopa hata kufungua jf mbele za watu JamiiForums
Ni ya janaKumbe ya Kitambo?
Mods wamelala?
Pokea nondo ya like at 17:48
Mtu kama huyo hata akipigwa ban ya maisha jamii forum hawana cha kupotezaNimeshangaa sana....Ban zitaanza kutembea humu
Asante shemejiHongera shemeji. My young bro is indeed happy. Safi sana!
Ni picha gani hiyo inaongelewa sana?Hiyo picha iliwekwa na mjinga mmoja alikuja humu kufanya fujo na kutukana.
Nikahisi mod wameshafuta hiyo picha na post ya huyo jamaa.
Hapo ndio maana naendelea kuwalaumu mod kuwa hawapo active
Ana wivu sanaDhumuni la aliyepost hiyo picha huu uzi ufutwe. Please mods ondoeni hiyo picha huu uzi ubaki na mumpige life ban.