Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
huu uzi soon utakula bann unless muitoe hiyo picha
Sent from my TECNO S5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO S5 using JamiiForums mobile app
IT wapi atakuwa mvuta sigara /bangi mhuni tu. Halafu ni new IdNaona post yenyewe yenye picha imeondolewa na aliyeiweka (Kipaso Nchimbi) nadhani kala ban. Tatizo picha yenyewe bado imeng'ang'ania geti letu. Jamaa ni mtu wa IT nini kafanya yake ili isifutike kamwe?
Yeah ni vyema tukaaminianaMkuu mbona umeshikia bango hivyo? Kama hujaiona basii.elewa tu ni mbovuu.
No inachukua muda kutoka, wala hamna alicho fanya huyo mwehu Wekeni picha zingine zitaondoa tu hiyo inayo displayAtakuwa kawazidi kete huyu jamaa. Wamefuta post yake na nadhani kala ban lakini lipicha bado limeganda tu!
Ikiwashinda kuitoa itabidi wadelete uzi mzima!Tupige ma likes zetu tu
Aiondoe arudi kundiniMsameheni tu ni mihemko ya wekeend
Mods wameshindwa kuitoa sembuse sisi?huu uzi soon utakula bann unless muitoe hiyo picha
Sent from my TECNO S5 using JamiiForums mobile app
Kabisaaaa saa hiiHakikaa