The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
VibayaMbaya sana
VibayaMbaya sana
Kumbeeeisingekua jua lishazama..kama ni Asbh kwa jina ya Mungu yeyote aliyetazama asinge pata rizki.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Aisee haijafutwa. Ndo icon ya Uzi huu
Jmn ni picha gani iko pale geti kuuu[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Yani hadi aibu kiongozi. Wengine tumezoea kupitia JF hata tukiwa kwenye public transports, sasa unafungua JF unakutana na picha ya namna hiyo na watu macho yako kwenye simu. Najaribu kuwaza utaonekanaje?Lakini picha mbona bado ipo?
Inatutia aibuSijui mods wanafanya nini inakera kweli
Atakuwa kawazidi kete huyu jamaa. Wamefuta post yake na nadhani kala ban lakini lipicha bado limeganda tu!Aisee haijafutwa. Ndo icon ya Uzi huu
Safi sana 18:25