Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Well said mkuu. Tuko wengi humu na wa aina mbalimbali. Ni muhimu pia mods wawe aggressive zaidi kwa sababu picha hii ipo tangia jana na watu wameripoti mpaka wamechoka!

Hapa ndipo tunapoona mantiki ya ile sheria ya makosa ya mtandaoni....

Pamoja na kasoro zake lakini ingefanikiwa upumbavu wa aina hii unaofanywa na mtu aliyenyuma ya keyboard
 
IMG-20170717-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom