myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:57...Is it bed time yet?
23:57...Is it bed time yet?
Ndiyo maisha hayo. Hata wakati wa kufa na kuzaliwa ni hivyo hivyo...wakat unazama chimbo wengine wanaibuka
Nasubiria jua kuzamaNot yet. Kwani ushapanda kitandani tayari? Kwa wengine ndo kunakucha sasa!
Uko upande upi maana majira yanatofautiNasubiria jua kuzama
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata huku kwangu niliko halijazama bado. Ngoja tulisubirishe basi...Nasubiria jua kuzama