Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2553.PNG

K2
 
Crabs cakes
Zilikuwa tamu sana walahi
Tumeenda kwenye semina ya wiki mbili.
Basi kila siku asubuhi kukawa na supu moja tamu balaa...
Nikawa naigonga kama sina akili nzuri japo ilikuwa inanipa usingizi
Siku ya mwisho wa semina ndiyo wanamtambulisha chef aliyekuwa akiiandaa.

Ndo akasema eti ilikuwa ni supu ya kaa na nyama za scallops
Tena wild raised and captured.
Nilitamani nimrukie lakini ndo hivyo tena hakuna namna....
Ila kusema kweli ilikuwa tamu sana na sijaona tena supu kama ile...ha ha haaa​
 
Back
Top Bottom