New Orleans, Lousiana.New Orleans is here
Unanikumbusha Physical Geography
Crabs cakesNew Orleans, Lousiana.
Voodo HQ...
Walinilisha supu ya kaa sitakaa nisahau !!!
Yes. The queen of 10,000 names !!!
Huwa na admire sana uumbaji wa Mwenye Enzi Mungu!Unanikumbusha Physical Geography
River meandering....
River Capture.....
Nature kweli inajiangalia na kujitunza yenyewe
Indeed!Yes. The queen of 10,000 names !!!
Mpaji wa uhai...
Mama bora...
Mke wa kupigiwa mfano...
Mzazi wa miungu...
Mama mwenye nguvu...
Mlinzi wa mafarao....
Tumeenda kwenye semina ya wiki mbili.Crabs cakes
Zilikuwa tamu sana walahi
I will catch you later!Yes. The queen of 10,000 names !!!
Mpaji wa uhai...
Mama bora...
Mke wa kupigiwa mfano...
Mzazi wa miungu...
Mama mwenye nguvu...
Mlinzi wa mafarao....