HahahahaTumeenda kwenye semina ya wiki mbili.
Basi kila siku asubuhi kukawa na supu moja tamu balaa...
Nikawa naigonga kama sina akili nzuri japo ilikuwa inanipa usingizi
Siku ya mwisho wa semina ndiyo wanamtambulisha chef aliyekuwa akiiandaa.
Ndo akasema eti ilikuwa ni supu ya kaa na nyama za scallops
Tena wild raised and captured.
Nilitamani nimrukie lakini ndo hivyo tena hakuna namna....
Ila kusema kweli ilikuwa tamu sana na sijaona tena supu kama ile...ha ha haaa
Huwa na admire sana uumbaji wa Mwenye Enzi Mungu!
Halafu inanipa nguvu ya kum ignore binadamu mwenye kiburi!
But all this ni spirituals !
Good night...I will catch you later!
Ndiyo naomba kila siku, maadui wa dunia wafe wao na vizazi vyao vyote!
Ni kweli.
Ukiangalia tu mfumo wa sayari ulivyopangwa kwa ustadi aisee ni shida.
Ndiyo maana akina Einstein na Isack Newton ilibidi tu wakiri kwamba mfumo mzima unaonekana kabisa kama umetokana na grand design. Imagine sasa at cosmic scale kwenye mamilioni ya Galaxies huko. Hata kufikiria tu mtu unakwama....
Binadamu tamaa, ujinga na kiburi.
Sasa amerundika mabomu ya nyuklia yanayotosha kukatandika kasayari kazima na kukaharibu.
Cha ajabu hana mahali pengine pa kukimbilia.
Akili ya ajabu kabisa...
Na ukiangalia kinachogombaniwa wala hukioni...
Natural resources na nguvu za kisiasa na kiuchumi....