Nipe 5 na chai rangi.. .Salama tunakula likes
Sent from my TV
Siwezi kuwa mchawi hivi hivi
Hamna mkuu aliniita tu huyo.Hii naitwa individualized greeting
Sent from my TV
You are wonderful my dearNimesoma my dear
Safi sana abarikiwe kwa kweli
Good morningHamna mkuu aliniita tu huyo.
Habari yako lakini kiongozi?
Kula likes kwanza kuondoa chukiMkuu mood imekata kabisa hebu nitarudi baadae.
Daaah.
Figisu haziishi kila corner.
Likes tu mtu analeta chuki.
Kazini chuki haziisgi
Mtaani nako chuki zipo.
Ila leo daaah mazee hii kali just "LIKES" na UZI watu tunaongea na kubadilishana mawazo tu.
Mtu analeta chuki kwa matusi na picha chafu.
Wakuu nitawaona mida aiseeh.
Fitina , chuki kila sehemu inasikitisha sana.
07:287:22
AMUN RA
Sawq sawaLikes na utapata likes
Pokea zako piaSafi...karibu na like
Sent from my TV
Tutunze mazingiraView attachment 544848 Kata mti panda miti