Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Humtoa nyoka pangoniLugha nzuri ni silaha
Humtoa nyoka pangoniLugha nzuri ni silaha
Aha!ameen
Kama una maarifaMandeleo ni juhudi yako
Kama ni kumcha MunguBidii yako ndio mafanikio yako
HahahahahahaBEST"LEO NIMEPATIKANA" nipo kwenye harusi , na sasa umefika ule muda wa kujitambulisha makabila ye2, lakini wamesema tujitambulishe kwa herufi nne za mwisho tu ili kuokoa "time",
mchaga amesha simama akasema:
mimi- chaga.
mgogo=gogo
mpare=pare
mhaya=haya
mhehe=hehe
mjita=jita
mmeru=meru
Kazi ipo sasa mimi MSUKUMA natetemeka hapa..... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji121][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Jirani yako ndiyo kinga ya amani yakoMpende alie pembeni yako
Karibu kwa likeasante
HahahahaJana nili log of mapema speed ilikuwa kali
No start your bb with my likeIs it bed time yet?
Watoto wa Mungu ambaye ndiye baba yetuSisi Wote ni wamoja
Pata likePole pole tu kabla sijaingia chimbo....
YaapSura na maumbile ni ili tufahamiane tu
Ni utashi tu wa mtuHeshima haihitaji pesa wala nguvu