Ila kama kweli inamjazia na kusumbua wengi basi jaribu kuwasikiliza, huu uzi ni wa burudani na tupo free kuambiaba majambo bila tabu ili tuwe wote kwenye gemu tamu hili.
Nafikiri wengi hata quotes za muhimu kujibu watakuwa wanazikosa kusoma pia.
Ameongea wala haukubidi kumuita hivyo... bali kupunguza tu..naelewa ni style yako kwa uzi poa ila ungeipotezea tu bila hayi umemwita.
Endelea kuvurudika... mimi nimeondoa alert ya like as nikikuwa napitwa na quotes . Sasa hata nafikiria mtu ana posts 500 kwa siku... itakuwaje kutoka humu... na amedai ana alert ya sms .eeeh
Just post chochote like zirakuja tu, muhimu mtu utoe like pia... hiyo inaangaliwa sema hawasemi tu eeeeeeeh
Please ifukirie kuona kama utapunguza, atakayesema anapenda uendeleeee basi mquote huyo. Ila kuna ku quote unapotaka ila sio style hii.
Team burudani
Team no stress
Sambaza upendo wa like