Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh teh nilikuwa natafuta sehemu nami nitumie hizi emoji[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Teh teh teh nilikuwa natafuta sehemu nami nitumie hizi emoji[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mi mbn hunipiNa wewe pia
Nilikusubiri toka day ile ujue.Show love!!!!!!! (Like)
wewe kula like![]()
Carba...Njoo uone [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Nisamehe tu bibie.
Leo kuna mtu aliharibu mood yangu kwa kuchafua huu uzi na jf kwa ujumla.
Nisamehe tu.
Ila ni wewe tu nakusubiri ujue.
Bado yupoNataka kufahamu kama kichwa kichafu bado yuko humu ndani..!
Kw nini umesema hivyo?Daah uzi umeanza kuboa
Bado yupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umeona eeeeh! Unafuatilia mpaka unachoka. Hizi likes kweli hazijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ruta punguza quote,unaquote hata visivyohitaji jibu. Post chochote haikumaanisha quote chochote
SadView attachment 544735 Aliyekuwa mfanyabiashara na mwanasiasa Kenya, Marehemu Nicholas Biwott kuzikwa katika jeneza la dhahabu na lisilopitisha risasi... . . Imefanyika hivyo kutokana na maagizo yake aliyotoa kabla ya kifo chake ambapo alidai ana maadui wengi ambao wanaweza kumwinda hata akiwa kaburini.....
[emoji101](chorus)
Nibebe nibebe nibebe nibebe
Nibembeleze nibebe
Nichukue unibebe
Mikononi mwako niwe salama
(verse1)
E mungu angalia kunena kwangu,
Na usikie sauti ya kilio changu
Moyo wangu umechoka sana baba,
Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu
Nafsi yangu imegandamana na mavumbi
Niokoe mikononi mwa midomo ya mbwa
Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga
Niokoe mikononi mwa watu wabaya
fanya hima unisaidie nibebe
Toto jeupeee laiini hata ng'ombe 50 zinakutoka kumbe unaoa porn day [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]