Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

OK. Anafanya hivyo kwa kila mtu. Naona ndiyo staili yake ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na yupo 24/7. Hakukosea aliyesema vita vya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Hakuna pa kupumlia. Tuvumilianeni tu!
Hamna vita vyake vipo kwenye sms. Mshana jr anatishia nafas yake ya wingi wa sms kule kwenye records
 
Back
Top Bottom