carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nashukuru mungu meamka salamaSo Good love million of hofu ni kwako Tu [emoji179] [emoji173] [emoji179] [emoji173] [emoji179]
Nashukuru mungu meamka salamaSo Good love million of hofu ni kwako Tu [emoji179] [emoji173] [emoji179] [emoji173] [emoji179]
Kama hautojari kuna jambo nyeti sana nilihitaji kukujuza lakini uwe peke yakoNipo hapa kipenzi
How when in few days I am dust to dust and ashes to ashes?Gain power build empire forever
Huku ni kuingiliana privacy aagrrr....asante kwa taarifaKanuni/Sheria za Wizara ya Mambo ya Ndani
Kuanzia kesho na kuendelea kutakuwa na kuna kanuni mpya za mawasiliano.
Simu zote zinarikodiwa.
Simu zote zinazorikodiwa zinahifadhiwa.
Whatsapp inafuatiliwa.
Twitter inafuatiliwa.
Facebook inafuatiliwa.
Vyombo vyote vya habari vya kijamii na vikao vinafuatiliwa
Waambie wale wasiojua.
Vifaa vyako vinaunganishwa na mifumo ya huduma ya wizara.
Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.
Wajulishe watoto wako, jamaa na marafiki zako kuhusu jambo hili ili wawe waangalifu.
Usitume machapisho au video yoyote n.k unayoipokea kuhusu siasa / hali ya sasa kuhusu Serikali / PM nk.
Polisi wameweka taarifa inayojulikana .. Uhalifu wa Cyber ... na hatua itachukuliwa ... futa tu ...
Wajulishe rafiki zako na wengine pia.
Kuandika au kupeleka meseji yoyote ya mjadala wa kisiasa na kidini ni kosa kwa sasa .... kukamatwa bila hati ...
Hili ni jambo nyeti sana. Tafadhali wajulishe wanachama wetu wote wa groups (vikundi) vyetu, na kwa Admin wa Groups inaweza kuwa matatizo makubwa.
Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.
Mwambie kila mtu juu ya hili ili awe na tahadhari.
Tafadhali tuma hii kwa wengine; Ni kweli sana.
IMETUMWA KAMA ILIVYOPOKELEWA
OkNatoka kidogo I will be back later,
Jamaa kasema anaondoka nitakujuza!Mchina aka muzee ya ikwiriri habari ya kupotea...
Huyo mwingine ni yupi tena?
Me too [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]My love carbamazepine I love you so Much [emoji173] [emoji178] [emoji179] [emoji173] [emoji179]
Mzimaaa
Kulikoni tena??
Weka hapa tuuone kwanza isijekua unamsingizia Cole wangu
Mighty tongues?Poldark
Mzee wa ikwiriri sikuelewi ujue?
MmmmhhhSawa lakini kwa nini usiweke wengine?
Mbona jukwaa limesheheni wengi tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
King of peace is indeed here whom our father Abraham gave a tenth of his gainful employment.Salem is here
Nakuona ujue?