Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Nini tena...!?...."wa kiume mzuri niliyempenda sana, ni mashaka kufiwa na mwana hasa akiwa ni mtoto wa pekee".....
Nini tena...!?...."wa kiume mzuri niliyempenda sana, ni mashaka kufiwa na mwana hasa akiwa ni mtoto wa pekee".....
asanteeMungu akikupa watoto, Mshukuru saaana.... Asikuambie mtu, nyumba yenye watoto inajaa furaha na faraja.......
Mi bado nazitaWakuu, Mungu awabariki saaana, nimejionea kwakweli... Like za kutosha mpaka zinakera.... Mleta post uliwaza vyema... Asanteni Wakuu....
Yaani ni mwendo malike tuAcha nipate ma like, nilikuwa nayatamani sana sasa fursa imetokea! Walahi!
Labda mkuu unaonajeUtakuwa muumini wake
Wacha umbea, mbona hawajaufutaMODS watakuwa wameuchukia sana huu uzi.
Oky, kula na hii piaNimepata like kidogo
R.I.P, polen....Tulimzika leo alasiri ktk kivuli cha kanisa la kale lakijiji nyumba yangu ilipo
toa upeweNimerudi tena nipe nikupe like
Umeona mkuu, pilau kwetu baada kufuturu. kwenye sherehe za "gonga like"Sikukuu ya like
Ukhuty yupo humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc ISISI, cc ukhuty, cc numbisa, jamani gongeni like