Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

upweke..😀😀😀😀 😀😀😀
 
Umeongea point nimekuelewa ila team yangu na wewe si upo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini watu wanasoma? Kwa nini watu wanaenda shule?

Tafsiri Rahisi ya kwenda shule ni kwenda kutafuta Maarifa Na Taarifa ambazo hatuna. Kifupi ni kwenda kujifunza. Swali la kujiuliza kama una maarifa Na Taarifa sahihi kuhusu nini ufanye Na ufanye kwa kiwango gani kuna haja ya kwenda shule? Na ni nini faida ya kupata hayo maarifa Na Taarifa ambazo hazikusaidii kutimiza ndoto zako?

Huu ni muda Wa kujitafakari kila mmoja Na nafsi yake Na kujua una nini kichwani mwako Na mkononi mwako kinachoweza kuwa sababu ya kutimiza ndoto yako? Usiumize kichwa chako kuwaza una nini kwa ajili ya kutimiza ndoto zako.

Tafuta vitu vitatu tu vitakusaidia kutimiza ndoto zako
. 1. Tafuta maarifa
2.Tafuta Taarifa Na
3. Tafuta watu sahihi wenye mawazo chanya Na malengo ktk maisha. Tengeneza marafiki watakao kuwa daraja la wewe kuvukia Na kwenda utakako kirahisi. Network ndio njia pekee ya kupata watu sahihi Wa kushirikiana nao ktk kutimiza malengo yako. Kingine cha ziada baada ya kupata hivi vitu vitatu Mshirikishe Mungu ndoto yako Na malengo yako, kuwa Na uthubutu Na jiamini kuwa unaweza nakuhakikishia malengo yako Na ndoto yako itatimia.

~Maisha ya mafanikio ni maamuzi ktk kuwaza Na kutenda na sio kuwaza Na kusema pekee. See u at the top

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Karibu
 
We kikwazo kwangu
 
Naendelea




[emoji617]Hauwezi kujenga nidhamu ya mafanikio katika maisha yako kabla haujajenga nidhamu ya kujikana katika mambo ya makundi yasiyokuwa na umuhimu.


[emoji617]Wengi huwa tunasema tunakula ujana ila swali ni ujana gani ambao tunauzungumzia? Kula ujana kwa manufaa ya ujana ulivyoufanyia kazi na usile ujana kwa kuhofu kesho hautakuwepo.Hii hofu ni dalili mojawapo ya mtu kutokufanikiwa katika maisha yake kwasababu hakuna malengo ambayo unaweza kujiwekea.

*Kesho Umeijuaje wewe na useme maisha mafupi ikiwa unamatumizi mabovu katika kila hela unayopata??*. Unasema maisha mafupi na Mungu anakupa miaka 100 au zaidi ya kuishi utasemaje na kauli yako ya kula ujana na hukujiwekea malengo yoyote.


[emoji617]Wengi tunamalengo mengi ndomaana kufika tunapotaka inakuwa ni shida, najua utakuwa umeshangaa, twende pamoja, unatakiwa kuwa na LENGO lenye malengo madogo madogo ndani yake. Lengo lenye malengo ni kisababishi cha wewe kupata kitu unachokitaka katika maisha yako na sio unakuwa na Malengo mengi ambayo hayako katika utaratibu leo unafanya hivi kesho hichi ni ngumu kufanikiwa katika hayo malengo yote.
*Kipaumbele chako ni kipi?*.




Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…