ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Good afternoon
Good afternoon
Mpela mpela
HahahahaWe kikwazo kwangu
Ohooooo....mimi mwenyewe nilifikiri ninahiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji miguu hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaaaa carba hafai .....Muite fukunyuku ila simo
IndeedWell understood
ID ya mtu humuNdo kitu gani
Busara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.Wachache tulimuelewa ukhuty,hadi alivyo tokea kisu cha ngariba ndipo lugha yake ikabadilika.Watu wanaogopa kuanzisha urafiki humu,yapo mengi ya kujadili mbona!! Kuna kundi hapa lenyewe ni kujadili mambo yetu yaleee(achaneni nalo,maana nalo ni burudani tosha),kuna mambo ya vipeperushi na mipicha picha(ahsante Numbisa,ISIS,Shimba,mshana Jr,Rais2020,na wengine),kuna misemo na nahau (cocochanel),kuna kufuatilia data(mzee wa liver,shimba),kuna waharibifu (ho chi Minh na kichwa kichafu),kuna wafukunyuku (carba na timu yake), na wengine weengi sana...Kweli tuna shindwa kurafikiana jamani!!!? Ku quote sana ni dalili za upweke.Tuwe huru japo hatufahamiani,tupo hapa kwa kusudio la kujijenga kiafya.Samahani kama nitakuwa mimi ni mmoja wa kikwazo ndugu zangu.Ahsante Numbisa kwa kuwa muwazi muda wote
Hunter hilo swali ni la msingi sana katika maisha.Naendelea
[emoji617]Hauwezi kujenga nidhamu ya mafanikio katika maisha yako kabla haujajenga nidhamu ya kujikana katika mambo ya makundi yasiyokuwa na umuhimu.
[emoji617]Wengi huwa tunasema tunakula ujana ila swali ni ujana gani ambao tunauzungumzia? Kula ujana kwa manufaa ya ujana ulivyoufanyia kazi na usile ujana kwa kuhofu kesho hautakuwepo.Hii hofu ni dalili mojawapo ya mtu kutokufanikiwa katika maisha yake kwasababu hakuna malengo ambayo unaweza kujiwekea.
*Kesho Umeijuaje wewe na useme maisha mafupi ikiwa unamatumizi mabovu katika kila hela unayopata??*. Unasema maisha mafupi na Mungu anakupa miaka 100 au zaidi ya kuishi utasemaje na kauli yako ya kula ujana na hukujiwekea malengo yoyote.
[emoji617]Wengi tunamalengo mengi ndomaana kufika tunapotaka inakuwa ni shida, najua utakuwa umeshangaa, twende pamoja, unatakiwa kuwa na LENGO lenye malengo madogo madogo ndani yake. Lengo lenye malengo ni kisababishi cha wewe kupata kitu unachokitaka katika maisha yako na sio unakuwa na Malengo mengi ambayo hayako katika utaratibu leo unafanya hivi kesho hichi ni ngumu kufanikiwa katika hayo malengo yote.
*Kipaumbele chako ni kipi?*.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Wewe tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ulifikiria nini vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ohooooo....mimi mwenyewe nilifikiri ninahiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You are hilarious walahiHuyo mimi ni kikwazo kwangu hamna namna.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mnanionea ujue[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hahahahaaaaa carba hafai .....
Nipo Minister Farrakhan. Mwaga busara mkuu.SHIMBA YA BUYENZE
Salama Mkuu?
Ukivua miwani kwenye avatar bila kubadili avatar nitasema kwa sauti kubwaaaaaaaaWewe tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ulifikiria nini vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] anajibu maombi...anajibu maombi...[emoji94] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji442]Wenye vi-okra wamepigwa marufuku kusema "Naliamsha dude". Naona wamekuja na "Usiniamshie kadude" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]