Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sinners are fools so are demon worshippers because how can the flesh be rich beats commonsense and logic

Why sacrifice your life for passing pleasures of sin?

The devil is the deceiver just keep this in your heart and you will save your soul from eternal fire
 
Nataka niunde kamati,nina mpango wa kukodi kundi la kukusuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka wakusuteeeee,yaani wakusuteeeee,usutwe saaanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]niambie lini na wapi[emoji23][emoji23][emoji23]na dresscode kabisa nije nimejiandaa[emoji23][emoji23][emoji23]...ila mbona unanionea jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]waaaaaaaiiiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji617]Maisha yanakupa uwanja mpana sana wa kufanya maamuzi lakini ukichelewa kunawakati yatakufanyia maamuzi.


[emoji617]Tunataka Tanzania ya viwanda lakini taifa kwa asilimia kubwa watu hawajui jinsi ya kumiliki viwanda vyao wenyewe. Watu wanatakiwa kuelewa kupata elimu ya jinsi ya kumiliki viwanda kwanza ni kitu kizuri sana.

[emoji617]Muda mwingine unatakiwa kuwa spidi zaidi ya mpango biashara wako. Usikaririshe.

[emoji617] Msamaha sio kwaajili ya kumnufaisha aliyekukosea lakini ni kujinufaisha mwenyewe. Unajitoa ufungwani/ Unajitoa jela mwenyewe.




Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Pokea like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…