mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Zipi hizo mkuuMzee wa liver kuna mtu anahitaji upitie pitie post zilizotumwa dkk 15 zilizopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipi hizo mkuuMzee wa liver kuna mtu anahitaji upitie pitie post zilizotumwa dkk 15 zilizopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa bila Mungu hakuna kitu
Naomba msamaha kama nimemkwaza mtuKesi hiyo..
wapi pamekushinda kuelewa tueleze mkuu
Aisee Mimi natumia huu Uzi kupata likesUkipata kitumie, ukikikosa kijutie.
Ni kichwa kichafu alikuwa anamuulizia ISIS kila mara lakini baada ya kumshitaki kwako kaacha.Zipi hizo mkuu
Matajiri nao hupenda kunufaika kwa shida za masikini. Ukiwa na shida ya umeme utamuona kalasinga ananyatia mradi furani na account yako ili anufaikeShida ya masikini ni kufurahia tajiri anapopata bugudha.
sio mimi ni SHIMBA akisikia huko shauri yakoNaomba msamaha kama nimemkwaza mtu
Na kuvunjika kabisaUkiona kwako kumepasuka, kwa mwenzio kumevunjika.
Huangusha comment mbili yatu kisha shaaa, wanaenda faragha kuchungulia likes zaohawa wapitaji nao wagonge likes..
sio kuposti na kukimbia ukasubiri 'likes kichochoroni
Tunajadili nn humu ndani? Jana waliweka hbr kubwa humu kidogo mumie, Leo sijui waliweka space vision saa hz sjui kuna nnwapi pamekushinda kuelewa tueleze mkuu
Yupo telecocochanel hajaonekana mtaa huu leo? Nauliza tu wandugu 🙂
Nhi nhi nhi nhi mnachekesha than a!!!!Jina refu kweli
Ndo maana. Welcome
Ahahaha hapana mkuuAhahahaa! unajaribu kukikimbia kimvuli chako😀😀