Ujisikitikie
Humu watu hawalilii like kama wewe wala wengi hawahesabu
Bali ni burudani do u get me woman!!!
Hakuna aliyewahi kuleta screenshot za kuangalia like za watu ... wengi humu wameingia na like kwendana na posts zao au zaidu... wengine ndio hata 5% hawakuwa nazo ila wamekuja wanaburudika bila kujisukuma kylazimisha
Quotes sikuanza leo kurusha. Usijilazimishe kuwa kama vipi upo chini ya wengi kwenye status ya uzi huuu
Mtu kubishana na wanawake ni kukosa mengi maishani
.unapitwa unakazana eeeeeh kutaduta maneno
Kweli kuzaliwa miaka ya 90 sijui ya 2000s wengine ni kazi kweli kweli