cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kitukooooooo
Kwenye uzi pendwa fikiria!Bado nachekaaaaa
OkNitakuja kuwa good night
Nimecheka mno.Nawaza tu wadau, hivi effort tunazotumia kutafuta likes, tungezitumia kwenye kusaka life si tungekua mbali.
*naombeni likes!!
Everybody is somebody
Lala salama mamaNawatakia usiku mwema wapenzi
Mkuu mbona kama unashindana take easyNyuzi zote quotes rukhsa isipokuwa hapa tena kwa baadhi ila nukta rukhsa
Itabidi mhame au tuvumiliane
Hapa ni likes sasa mengineyo yanatoka wapi?
Mi sikwambii cha kufanya and believe Me nimelike post zako zote mimi hata uni quote mara buku Sawa ila mpenz wangu carbamazepine muache please Mkuu I beg u
We acha tu!Ugangwe sio huo