Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kweli?Stress free zone
Kweli?Stress free zone
[emoji144]Hamna mjuzi
[emoji144]Tengeneza mazingira ya utulivu kama ulivyo yakuta
Carba na mwili wake ulivyo mbona atapotelea vumbini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuliamsha dude
Anajamba polepole (ashakum si matusi)Ukiona dem anakutazama sanaaa.. Ujue kuna mambo mawili, Either amekupenda au anajamba polepole..
Nipo mkuu@ mzee wa liver
Mbona unacheka jina langu mkuu[emoji23] [emoji23]Hahahaha
Asante my dearMy dearest usipate stress kabisa!
You are totally generous person!
You should know that!
Asante my dearMy dearest usipate stress kabisa!
You are totally generous person!
You should know that!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbavu zangu hahahaha
Dah watu mnamamboMzee wa quotation
Njema sana Boss.Habari za jioni watu wa mungu.
Karibu tena mkuuMie zangu ni kuwapa salama na kupita tu....
Sema bro. Nowdays you just ooze happiness. I am very happy for you bro...SHIMBA YA BUYENZE
ANDJUL
MZEE WA LIVER
JAKITOO
ISIS
KICHWA KICHAFU
NUMBISA
THE CHOOSEN ONE
MYOYAMBENDI
MCHINA
MOUDGULF
MARK MSUE
SINCE DAY UNO TEAM /FELLAZ
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CleverKING kwenye ubora wakoJapan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
Mkuu kwani efforts zako za kuingia mtandaoni na kusaka life kuna uhusiano. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawaza tu wadau, hivi effort tunazotumia kutafuta likes, tungezitumia kwenye kusaka life si tungekua mbali.
*naombeni likes!!
Everybody is somebody
Asante shemeji...[emoji23][emoji23][emoji23]The Genius one SHIMBA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaona likes zako kwangu