Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Na umasikiniPiga kite mama, ujikomboe.
Na umasikiniPiga kite mama, ujikomboe.
Pata like kwanza my princess mama wa mapicha pichaHahahaha kila mmoja umemuweka kwenye mabano ila mbona wewe hujajiweka kwenye kundi lolote? Wala hujawahi mkwaza mtu humu zaidi ya mtani wako uniq.
Kusema ule ukweli nilipoingia JF sikuwah mfaham mtu yoyote humu wala kuogopa kuchangia popote kisa upweke. Kila mjadala nilijiweka huru ili mradi nami ni member wa JF.
Hata sisi tumekumiss karibu na likeNimewamiss
Utafanikiwa tuPiga moyo konde.
Nakusalimu
Aha!Pindi yakikaza mawi, huwa karibu kwisha.
Asante. ..uko poa?Hata sisi tumekumiss karibu na like
The Genius one SHIMBANi shemeji yangu. Siwezi kufanya hivyo!
Hahahaa hizo quotes wanazo ambatanisha na picha za mugabe zinanikosha sana
The Genius one SHIMBA
Kweli? Au unanisingizia?Raha yako, taabu yangu.
Hakika,mswahili yupo nyuma anamshangaa ho chi minh kuchoma mahindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ngozi yetu hii bure kabisaAcha achape kazi
HahahahaHahahaa hizo quotes wanazo ambatanisha na picha za mugabe zinanikosha sana
Aiseeeee!Sahau ni dawa ya waja.
Hapa kimya tu mkuu.Kwema mkuu.. Niaje hapo jamvini?
Aha! Aha! Aha!Za kunyapia nyapia hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] (sijui mwanafunzi mwenyewe ndio yule mtoto wa kigweno)![]()
Hahhaahhaah hafu we si unapenda nyokaSema mzee wa manyokanyoka
Yupo Tanzania kwa sasaMwaka gani huo?